Karibu! Soko la Kidigitali la Mafia Island

Nunua kwa Katigori

Zote (20) →
🔥

Deals za Leo

04:43:30
Zote →

🏆 Bidhaa Zinazovuma

Zote

🔖 Chapa Zinazovuma

Wauzaji Wetu wa Dropshipping

Wataalamu wa Dar es Salaam wanaoleta bidhaa mpaka bandarini Kilindoni

Tuma bidhaa yako
Picha ya philox cany

philox cany

Urban Traders

Kariakoo, Dar es Salaam

SimuLaptopsVifaa vya Elektronikiviwalona bizaa tofauti tofauti
Agiza
Picha ya fredizohh

fredizohh

kunangaVentures

makumbusho, dar-es-salaam

mavaziradio subwooferelectronicscomputersfriji na bizaa tofauti tofauti
Agiza
Picha ya BwangaTZ

BwangaTZ

Bwanga Laptop Store

Kariakoo, Dar-es-salaam

Laptopmobilephonecomputers
Agiza

Wafanyabiashara wa Kisiwani

Wafanyabiashara walio verified — huduma za uhakika kisiwani Mafia

Tuma biashara yako
Picha ya Malegesiw

MJ Products

Imethibitishwa

Wauzaji sabuni

Kigamboni, Mafia

MJ Products ni biashara inayopatikana Kigamboni-Mafia, Tanzania, inayojihusisha na utengenezaji na uuzaji wa sabuni nzito ya maji ya limau (Sabuni ya Limau). Sabuni hii inafaa kwa kufulia, kuoshea vyombo, kunawia mikono, na usafi wa nyumbani (kama vile kudekia), na inauzwa kwa vipimo vya kuanzia nusu lita hadi lita 5 kwa bei nafuu.

Wasiliana

Wateja Wanataka

Wananchi wanatafuta bidhaa — uko nacho? Wasiliana nao moja kwa moja.

Unatafuta kitu? Tuambie
Anatafuta

BETRI LA SOLAR

KAMPUNI ENSKY SOLAR ES - 18AH 12V-18AH 20HR

KILINDONI

Wasiliana
Anatafuta

Kitanda cha Mtu Mzima

Kitanda cha chuma au mbao pamoja na godoro. Anapokea katika sehemu zote za Mafia. Uko nacho?

Kilindoni

Wasiliana

🆕 Bidhaa Mpya Sokoni

Vinjari Zote →

Jinsi ya Kuagiza na Kupokea Mzigo

1. Chagua Bidhaa

Vinjari sokoni na chagua bidhaa unayotaka au agiza kutoka Dar.

2. Oda kwa WhatsApp

Bonyeza kitufe uagize kwa WhatsApp moja kwa moja bila dalali.

3. Express Port Delivery

Chukua mzigo wako bandarini Kilindoni au uletewe ulipo.

Una bidhaa ya kuuza? 🛒

Tangaza bure kwenye soko letu — wafikia wateja wa Kilindoni na Dar es Salaam.

Tangaza Sasa