Jinsi Kilindoni Ghala Inavyofanya Kazi
Mfumo rahisi, wa wazi na salama kwa wananchi na wajasiriamali kisiwani Mafia.
1. Vinjari na Tafuta Deals
Tunachukua deals kubwa — Nyumba, Viwanja, Second Hand na bidhaa za Dropshipping kutoka Dar es Salaam — na kuzipublish hapa online. Unapata kuona bei na maelezo mapema.
2. Oda na Uwasiliane WhatsApp
Kila bidhaa ina kitufe cha WhatsApp. Unabonyeza, ujumbe unaandikwa kiatomati, na unazungumza moja kwa moja na timu yetu ya Kilindoni Ghala.
3. Makubaliano na Malipo Salama
Hakuna haja ya malipo ya awali kabla ya makubaliano. Unakubaliana bei na njia ya malipo (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au mkutano ana kwa ana) kwa usalama.
4. Utoaji au Mkutano wa Eneo
Bidhaa za Dar es Salaam zinasafirishwa na kufikishwa bandarini Kilindoni. Kwa nyumba na viwanja, unakutana na mmiliki au mwakilishi rasmi wa eneo.
5. Wewe ni mjasiriamali au mmiliki Mafia?
Una bidhaa, nyumba au kiwanja unachotaka kuuza? Jaza fomu ya 'Tuma Bidhaa Yako' nasi tutakusaidia kuifikisha kwa wanunuzi kisiwani kote.
Una swali au unahitaji msaada?
Timu yetu iko tayari kukujibu haraka na kukusaidia kupata deal au kuuza bidhaa yako.
Wasiliana Nasi WhatsApp← Rudi Nyumbani
